#KariakooDerby |  Ramadhan Ngoda alivyoifungua Dabi ya Kariakoo ya kufungia msimu na kuamua bingwa
#KariakooDerby | Ramadhan Ngoda alivyoifungua Dabi ya Kariakoo ya kufungia msimu na kuamua bingwa

Itazame Dar es Salaam, itazame Benjamin Mkapa, watazame watani wa jadi…!!! #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #KariakooDerby #DabiYaKariakoo #HainaKipengele #YangaSC #SimbaSC #YangaSimba #WataniWaJadi



Tanzania Prisons 0-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 18/06/2025
Tanzania Prisons 0-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 18/06/2025

Yanga SC imeichakaza Tanzania Prisons kwa kichapo cha mabao 5-0 kwenye mchezo wa raundi ya 29 Lig kuu ya NBC uliopigwa Sokoine Stadium, Mbeya... Pacome Zouzoua amefunga magoli mawili, huku mengine yakitoka kwa Mudathir Yahya aliyefungua milango dakika ya 31, Clatous Chama, na Israel Mwenda..



Simba SC 1-0 Singida Black Stars | Highlights | NBC Premier League 28/05/2025
Simba SC 1-0 Singida Black Stars | Highlights | NBC Premier League 28/05/2025

Steven Mukwala amefunga goli pekee na la ushindi kwa Simba, dhidi ya Singida Black Stars, mchezo wa Ligi Kuuya NBC uliopigwa kwenye Dimba la KMC, Mwenge Dar es Salaam.



SIMBA WALICHUKIZWA NA MWAMUZI KUWA NA UONGOZI WA RS BERKANE. #simbasc #simba #nguvumoja #simbalive
SIMBA WALICHUKIZWA NA MWAMUZI KUWA NA UONGOZI WA RS BERKANE. #simbasc #simba #nguvumoja #simbalive

‎#simbasc #simba#NguvuMoja #ligikuutanzaniabara #NBCPremierLeague #simba #bongo #bongotrending #tikitok #kenya #kenya #kenyantiktok🇰🇪 #kenyancomedy #tikitoktanzania🇹🇿 #simbachallenge #simba #kenya #kenyantiktok #kenyantiktok🇰🇪 #kenyatiktok #kenyatrending #bongofleva ‎ #simbasc ‎#NguvuMoja #TotalEnergiesCAFCC ‎ ‎ ‎#yangasc #yanga #timuyawananchi #prison #ligikuutanzaniabara #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPremierLeague #kenya #kenyantiktok #kenyantiktok🇰🇪 #kenyatiktok #kenyatrending #bongofleva #tanzaniatiktok #tanzania #tanzania🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #bongo #bongotrending #mpanzu #dube ‎ ‎  Young Africans Sports Club @Prisons  ‎ ‎       #mpekeo_mtandala ‎ #simba #nguvumoja #simbasc #simbatanzania #mpenja #yangasc #kenya #kenyantiktok #rsberkane ‎ ‎ ‎ ‎ ‎         #mpekeo_mtandala ‎



Simba SC 5-1 Pamba Jiji | Highlights | NBC Premier League 08/05/2025
Simba SC 5-1 Pamba Jiji | Highlights | NBC Premier League 08/05/2025

Jean Charles Ahoua amepiga hattrick Simba ikiinyuka Pamba Jiji FC kichapo cha mabao 5-1 kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Ahoua amefunga magoli yake dakika ya 16' kwa penati, 37' na 48' huku mawili yakifungwa na Lionel Ateba Mbida dakika ya 80 na 84. Goli pekee la kufutia machozi kwa Pamba limefungwa na Mathew Momanyi Tegis dakika ya 86....



JKT Tanzania 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 05/05/2025
JKT Tanzania 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 05/05/2025

Fabrice Ngoma amefunga goli pekee lililowapa Simba ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya JKT Tanzania, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Dar es Salaam.



Tuhuma Za Rushwa? Bodi Ya Ligi Yamsimamisha Refa Kayombo “Dakika 15 Za Nyongeza & Penati Za Utata”
Tuhuma Za Rushwa? Bodi Ya Ligi Yamsimamisha Refa Kayombo “Dakika 15 Za Nyongeza & Penati Za Utata”

Simba Vs Mashujaa Simba Leo Simba Vs Mashujaa Live Simba Vs Mashujaa Live Leo Simba Vs Mashujaa Leo Live Simba Vs Mashujaa Leo Simba Vs Mashujaa Highlights Simba Vs Mashujaa Magoli Simba 2-1 Mashujaa Simba Vs Mashujaa 2-1 Kikosi Cha Simba Kikosi Cha Simba Leo Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo Goli La Kibaya Dhidi Ya Simba Goli La Japhary Kibaya Dhidi Ya Simba Goli La Ateba Dhidi Ya Mashujaa Goli La Ateba Vs Mashujaa Magoli Ya Ateba Dhidi Ya Mashujaa #SimbaSc #AzamTv #Simba #NbcPl #MoDewji #AhmedAlly #Alikamwe



Simba SC 2-1 Mashujaa FC | Highlights| NBC Premier League - 02/05/2025
Simba SC 2-1 Mashujaa FC | Highlights| NBC Premier League - 02/05/2025

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Mashujaa FC. Simba imeshinda kwa jumla ya magoli 2-1. Magoli ya Simba yamefungwa na Leonel Ateba kwa mikwaju ya penati. Goli la Mashujaa limefungwa na Jafary Kibaya




« Previous Next »


Popular Tags

#Russell Westbrook  #New York Knicks  #Lionel Messi  #Russell Westbrook  #LeBron James  #Kyrie Irving  #Kevin Durant  #Goalkeeper Saves  #Neymar  #Derrick Rose  

Popular Users

#TheChristinaKim  #twitter  #blakegriffin23  #MichelleDBeadle  #TheRock  #TheRealJRSmith  #sydneyleroux  #jimmyfallon  #TheEllenShow  #jtimberlake  #BadgerMBB  #strombone1  #darrenrovell  #neymarjr  #ladygaga